WAZIRI JOEL NANAUKA - "VIJANA HAWATAKI MAMBO YAO KUCHELEWESHWA - HAWAVUMILII KUCHELEWESHWA"..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-12-17
Просмотров: 36024
Описание:
WAZIRI JOEL NANAUKA - "VIJANA HAWATAKI MAMBO YAO KUCHELEWESHWA - HAWAVUMILII KUCHELEWESHWA"..
Mohammed Zengwa
Waziri Joel Nanauka amesisitiza kuwa vijana wanataka mambo yao yatengeke kwa wakati na hawavumilii ucheleweshaji wowote. Amesema vijana wanataka kusikilizwa na kusaidiwa kwani maafisa wa serikali kazi yao ni kuwasaidia vijana, si kuwakatisha tamaa. Waziri Nanauka aliongeza kuwa kushirikisha vijana katika maamuzi ni muhimu ili kuhamasisha ushirikiano na uzalendo.
Aidha, Waziri alibainisha kuwa vijana wanakwenda kasi katika maisha yao na kutumia teknolojia kwa wingi, jambo linalowawezesha kufanikisha mambo yao haraka. Serikali inapaswa kuendana na kasi hiyo na kuhakikisha huduma zinawafikia kwa haraka ili kuunga mkono malengo yao na kuendeleza uzalendo.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: