MAPYA TANZANIA! MBINU YA KISASA YA UCHIMBAJI MADINI
Автор: Mwanzo TV Plus
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 146
Описание:
Shirika la madini stamico limeingia mkataba na kampuni ya uchimbaji wa madini ya Plantcor kwaajili ya uchimbaji wa madini kwenye pori la hifadhi ya msitu wa Kigosi lililopo Bukombe mkoani Geita.
Akishuhudia utaji Saini huo naibu Waziri wa madini Steven Kiruswa amewataka wawekezaji kutumia teknolojia ya kisasa ya ndege nyuki katika kufanya utafiti kabla ya kuanza uchimbaji na kuzingatia uwazi katika utoaji wa taarifa ili kunufaisha wananchi. Naibu Waziri huyo pia amesisitiza umhimu wa kamouni husika kutekeleza wajibu wake kwa jamii(CSr)pamoja na kuhakikisha ushirikishwaji wa wananchi katika mnyororonwa thamani wa sekta ya maini kupitia sera ya local content.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE Youtube Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: