Makocha Yanga Princess, Simba Queens watoa neno baada ya mechi
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-12-28
Просмотров: 3959
Описание:
#KariakooDerby: Kocha wa Yanga Princess, Edna Lema anasema makossa madogomadogo yamewafanya wapoteze mchezo wa leo.
Kocha Mussa Hassan Mgosi wa Simba Queens anasema kuifunga Yanga sio kitu cha kigeni kwasababu amekuwa akifanya hivyo tangu alipokuwa anacheza.
FT: Yanga Princess 0-2 Simba Queens
#TWPL #KariakooDerby #WPL #TanzaniaWomenPremierLeague #LigiKuuWanawake #LigiYaWanawake #WomenFootball #WomenPremierLeague #YangaPrincessVsSimbaQueens #YangaPrincess #SimbaQueens
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: