Kwanini Biashara Zinakufa|Datapodcast|Episode 1| Eng. Kabenda|
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 14637
Описание:
Kwa nini biashara nyingi hufungwa kabla ya kufikisha miaka 5? Je, ni bahati mbaya au kuna mfumo unaokosekana?
Katika episode ya kwanza ya Data Podcast – Powered by Bongo Brothers | UzaDigit |Eng. Kabenda Balete anachambua sababu halisi (zinazothibitishwa na data) zinazochangia kufa kwa biashara nyingi.
Utajifunza:
-Tofauti kati ya kuendesha biashara kwa hisia vs kwa data
-Kosa kubwa linalofanywa na wafanyabiashara wanaoanza
-Kwa nini biashara inaweza kuonekana inaenda vizuri lakini iko hatarini
-Data gani mfanyabiashara anapaswa kuanza kukusanya siku ya kwanza
Ujumbe mkuu: Biashara nyingi hufa bila mmiliki kujua sababu.
Hii ni episode ya ufahamu wa kibiashara kwa kutumia takwimu.
Subscribe na uanze safari ya kubadilisha biashara yako kutoka hisia → data.
#DataPodcast #BiasharaKwaData #UzaDigit #SMETanzania.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: