BALAA! CHADEMA WALAANI KUZUIWA KISIASA,ZUIO LILIISHA MWAKA JANA WAHOJI KISHERIA ZAIDI
Автор: VOT MEDIA
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 2016
Описание:
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa rasmi kwa umma kikibainisha kuwa amri ya zuio la Mahakama Kuu iliyokuwa ikikizuia chama hicho kufanya shughuli za kisiasa nchini imekoma kisheria tangu tarehe 10 Desemba, 2025.
Katika taarifa iliyotolewa leo, Januari 23, 2026, na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala, chama hicho kimesema kuwa amri hiyo iliyotolewa na Jaji Hamidu Mwanga mnamo tarehe 10 Juni 2025, ilikuwa na ukomo wa miezi sita kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Madai (Civil Procedure Code).
#news #2026 #siasa #tumechangamka
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: