Uuzaji wa hisa za Safaricom
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-03
Просмотров: 347
Описание: Wananchi hii leo wanapata fursa ya kutoa maoni yao kuhusu ari ya serikali ya kenya ya kutaka kuuza hisa zake katika kampuni ya mawasiliano ya safaricom. Kampuni ya Vodacom ya Afrika kusini imeonyesha matamanio ya kununua hisa hizo lakini baadhi ya wananchi, wakiwemo viongozi, wametilia shaka pendekezo la serikali la kutaka kuuza asilimia 15 za hisa zenye thamani ya takriban shilingi bilioni 250.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: