DW Kiswahili | MAONI: Mswada wa Fedha nchini Kenya mwaka 2024 wazusha mjadala
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2024-05-18
Просмотров: 951
Описание:
Mapendekezo ya serikali ya rais wa Kenya William Ruto juu ya kupandisha kodi ili kuongeza makusanyo ya kodi yamezusha mjadala mkubwa nchini humo. Mapendekezo hayo ni pamoja na kuongeza ushuru wa miamala ya fedha kwa njia ya simu, miamala ya benki, kupandisha kodi ya magari na kodi ya ongezeko la thamani VAT. Swali la kuuliza, ni iwapo mzigo wa kodi nchini Kenya utabebwa na wote kwa njia ya haki? Wataalamu wetu wanalijadili hilo na mengineyo kwenye meza hii ya duara. Nahodha ni Zainab Aziz.
#DW Kiswahili #DW Swahili #Maoni #Uchambuzi #MswadaWaFedha, #Kodi #Ushuru #WilliamRuto #Bajeti
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: