Hiki ni Chakula cha Mbingu By Rev. Fr. D. Ntapambata
Автор: Kaimbe Swahili Catholic songs
Загружено: 2024-01-30
Просмотров: 4580
Описание:
0:00 Sauti Zote
0:50 Shairi
1:56 Sauti ya Kwanza
2:37 Sauti ya Pili
3:18 Sauti ya Tatu
3:59 Sauti ya Nne
Hiki ni chakula cha mbingu, (hakika)
Mkate safi wa wampendao, (na pia)
kweli ni uzima wa Roho.
Yesu shibisha roho yangu,
Bwana tuliza hofu yangu,
Kaa katika moyo wangu.
Nipe nguvu za kukujia
Nipe neema za kukufuata,
Nipe Moyo wa kukupenda.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: