DKT NCHIMBI AELEZA MAKUBWA YATAKAYOFANYIKA TANDAHIMBA NDANI YA MIAKA MITANO
Автор: Hello Media
Загружено: 2025-10-02
Просмотров: 109
Описание:
Mgombea mwenza wa urais kupitia chama cha mapinduzi Balozi DKT Emmanuel John Nchimbi amewataka wananchi wa Tandahimba ,Newala na Mtwara kwa ujumla kukichagua chama cha hicho ili kuendeleza kuwatumikia wananchi kwa vitendo katika kuwaletea maendeleo .
Amebainisha hayo akiwa wilayani humo katika Mkutano wa kampeni ya kunadi sera ya chama hiko ambapo amebainisha baadhi ya miradi itakayotekelezwa wilaya ya Tandahimba ndani ya miaka mitano endepo chama hicho kitapewa ridhaa ya kushika dola katika uchaguzi mkuu octoba 29.
Awali akizungumza Mbunge jimbo la Tandahimba Katani Ahmedi Katani amesema katika kipindi cha awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mengi katika wilaya ya Tandahimba ikiwemo kuboresha Miundombinu ya barabara ,maji, elimu, afya sambamba na upande wa kilimo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: