GRADUATION ISINGILO SECONDARY 2025
Автор: DVP STUDIO
Загружено: 2025-10-15
Просмотров: 205
Описание:
Safari ya miaka minne hatimaye imefika ukingoni! Kilio, kicheko, ushindani wa darasani na ndoto za kesho vyote vimeungana kutengeneza kumbukumbu isiyofutika.
Shuhudia furaha, na fahari ya ushindi ya wanafunzi wa Isingilo Sekondari walipouaga rasmi ukurasa wa sekondari yao.
👉 Wasiliana nasi leo kutengeneza video au picha ya sherehe yako kwa ubora unaosemwa na matokeo, si maneno.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: