Tatizo la kuziba pumzi usingizini
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-04-28
Просмотров: 1370
Описание:
Je, Unajikuta Unachoka Sana Asubuhi?
Unakoroma sana usiku? Unapumua kwa shida usingizini au kuamka ukikosa hewa? Hii inaweza kuwa dalili ya tatizo hatari lijulikanalo kama Obstructive Sleep Apnea — ambapo njia ya hewa huzibwa wakati wa usingizi bila wewe kujua! Mengi zaidi kwenye video hii ya afya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: