Скачать
Ahmed Ally asema Simba msimu huu inataka kufika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-10-22
Просмотров: 24087
Описание:
AHMED KUHUSU MALENGO YA MSIMU HUU: “Target ni kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema wameshaingia mara nyingi robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na sasa wanaitaka hatua ya nusu fainali.
Ahmed anasema klabu ya Simba ni timu ya ‘mabwanyenye’
#Viwanjani
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: