RC MACHA ALIPOSHUHUDIA MANJU WAPYA WAKISIMIKWA,
Автор: SIMIYU- RS TV
Загружено: 2025-09-29
Просмотров: 4999
Описание:
RC MACHA ASHUHUDIA MANJU WAPYA WAKISIMIKWA,
NI WATOTO 2 WA MMOJA KATI YA MANJU MAARUFU WA KUNDI LA WAGIKA NA WAGALU ALIYEFARIKI HUKO SAPIWI BARIADI,
Kufuatia kifo cha Manju maarufu wa kundi la Wagika na Wagalu Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu Bw.Missa Mayunga kilichotokea Katika Kata ya Sapiwi Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu shughuli mbalimbali za kijadi zimetawala katika mazishi yake.
Moja ya tukio la.kijadi mara baada ya kufariki manju huyo ni pamoja na Kusimikwa kwa watoto wake 2 kuwa Mamanju nankukabidhiwa shughuli zote za kijadi alizokuwa anafanya baba yao.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anamringi Macha ameshiriki tukio hilo la kjjadi leo 9 Septemba 2025 huko Sapiwi Wilayani Bariadi ikiwa ni utamaduni wake aliojiwekea wa kushiriki katika matukio ya kijamii Mkoani Simiyu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: