ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

GLOBAL MOVIE: UJIO WA FILAMU YA FAKE PASTORS- ANGALIA HII KALI!

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-03-15

Просмотров: 179359

Описание: Unawakumbuka wasanii Adam Philip Kuambiana (Petro), Vicent Kigosi (Ray), Jokate Mwegelo (Jach), Lisa Jensen (Lisa), Blandina Chagula? Unaikumbuka movie ya Fake Pastor? Basi Global TV Online imeamua kukumbushia enzi.

Vijana watanashati Vicent Kigosi (Patric) na Adam Philip Kuambiana (Petro) waliohitumu Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro Vichwani mwao wanaelewa kitu kimoja tu walichoambiwa tangu utotoni kuwa ukiwa na digree masiha yatakuwa rahisi jambo ambalo baada ya kuingia mitaani wanakuta ni tofauti kwani hakuna ajira na maisha yanakuwa magumu sana kwao.

Baada ya kutembea katika ofisi moja hadi nyingine wakitafuta kazi bila mafanikio, hatimaye wanagundua kuanzisha kanisa ndio suluhisho pekee walilobakiza hivyo wanaamua kuwa wachungaji wa uongo (Fake Pastors) na kuanzisha kanisa kwa lengo la kujitajirisha badala ya kumtumikia Mungu, kazi yao inakuwa ni kuwakamua waumini fedha na mali walizonazo. Kwakufanya hivyo wanajikusanyia utajiri mkubwa hasa baada ya misada kuanzia kuingia kutoka nje kwa wahisani, baadala ya kufanya kazi ya Mungu wao wanazitumia fedha hizo katika anasa wakilewa pombe na knunua Malaya usiku na ifikapo asubuhi wahubiri injili kama kawaida na kuwfanya wamini wazidi kuwaumini. Baadae walipjingiza katika biashara haramu dawa za kulevya ndipo Mungu Mbinguni alipoamua kuingilia kati na kuwaadhibu vibaya.

Kutazama video nyingine kama hizi, usikose kusubscribe Global TV Online.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
GLOBAL MOVIE: UJIO WA FILAMU YA FAKE PASTORS- ANGALIA HII KALI!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Yellow BANANA Part 1 - Vincent Kigosi, Blandina Chagula (Official Bongo Movie)

Yellow BANANA Part 1 - Vincent Kigosi, Blandina Chagula (Official Bongo Movie)

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

KHAMENEI AMEMWAMBIA TRUMP UKWELI!

KHAMENEI AMEMWAMBIA TRUMP UKWELI! "MAJESHI YAKO NI YA KIGAIDI" UCHAFU WA USA NA ISRAEL UMEFICHUKA

RIPPLE OF TEARS P1 | Steven Kanumba & Elizabeth Michae | Bongo movie

RIPPLE OF TEARS P1 | Steven Kanumba & Elizabeth Michae | Bongo movie

SOPHIA KANUMBA -

SOPHIA KANUMBA - "NILIKUTANA NA KANUMBA SUPERMARKET AKANIPENDA/MAMA ALIPATA TABU SANA"

🔴#Live:MJADALA MKALI BOT KUUZA DHAHABU

🔴#Live:MJADALA MKALI BOT KUUZA DHAHABU "NI KWELI"/MBUNGE ACHOKA na KUSIFIA BUNGENI-ATAJA KATIBA MPYA

96-Летний Охранник Гитлера Наконец Рассказал, Что Увидел в Бункере — Это Шокирует.

96-Летний Охранник Гитлера Наконец Рассказал, Что Увидел в Бункере — Это Шокирует.

Village Pastor Part 1 - Steven Kanumba & Nurdin Mohamed (Official Bongo Movie)

Village Pastor Part 1 - Steven Kanumba & Nurdin Mohamed (Official Bongo Movie)

RAY KIGOSI AMJIBU CHUCHU HANS/NIKIKAA KARIBU NA WANAWAKE NA VIMBAVIMBA/ANAPENDA YEYE KULIA

RAY KIGOSI AMJIBU CHUCHU HANS/NIKIKAA KARIBU NA WANAWAKE NA VIMBAVIMBA/ANAPENDA YEYE KULIA

Sikitiko Langu - Steven Kanumba & Nuru Nassoro (Official Bongo Movie)

Sikitiko Langu - Steven Kanumba & Nuru Nassoro (Official Bongo Movie)

Cross My Sin - Mercy Johnson & Steven Kanumba (Official Bongo Movie)

Cross My Sin - Mercy Johnson & Steven Kanumba (Official Bongo Movie)

Sikitiko Langu - Steven Kanumba, Vincent Kigosi and Ali Chaoa (Official Bongo Movie)

Sikitiko Langu - Steven Kanumba, Vincent Kigosi and Ali Chaoa (Official Bongo Movie)

Village Pastor Part 2A - Steven Kanumba, Nurdin Mohamed (Official Bongo Movie)

Village Pastor Part 2A - Steven Kanumba, Nurdin Mohamed (Official Bongo Movie)

The Hero of the Church - Sheila Nvanunge & Steven Kanumba (Official Bongo Movie)

The Hero of the Church - Sheila Nvanunge & Steven Kanumba (Official Bongo Movie)

Fake Smile Part 1 - Steven Kanumba, Aunty Ezekiel (Official Bongo Movie)

Fake Smile Part 1 - Steven Kanumba, Aunty Ezekiel (Official Bongo Movie)

Village Pastor 2B - Steven Kanumba & Nurdin Mohamed (Official Bongo Movie)

Village Pastor 2B - Steven Kanumba & Nurdin Mohamed (Official Bongo Movie)

Stolen Will - Steven Kanumba & Elizabeth Chijumba (Official Bongo Movie)

Stolen Will - Steven Kanumba & Elizabeth Chijumba (Official Bongo Movie)

Jackie Chan Classic | From Hardship To Invincible Snake Fist Master | Full English Movie

Jackie Chan Classic | From Hardship To Invincible Snake Fist Master | Full English Movie

ЗАХВАТЫВАЮЩИЙ СОВРЕМЕННЫЙ ДЕТЕКТИВ┃1-8 СЕРИИ┃Кто он, таинственный и жестокий Хозяин?┃Драма,Боевик

ЗАХВАТЫВАЮЩИЙ СОВРЕМЕННЫЙ ДЕТЕКТИВ┃1-8 СЕРИИ┃Кто он, таинственный и жестокий Хозяин?┃Драма,Боевик

She Is My Sister Part 2 - Mercy Johnson & Steven Kanumba (Official Bongo Movie)

She Is My Sister Part 2 - Mercy Johnson & Steven Kanumba (Official Bongo Movie)

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]