JIWE JEUSI KWENYE AL-KAABA MAKKA DHIDI YA JIWE JEUPE LA YESU KRISTO LILILOKO MBINGUNI
Автор: BAYYINAT DM TV
Загружено: 2024-04-29
Просмотров: 3826
Описание: Waislamu wanapokwenda Hija kule Makka, moja ya ibada wanayoifanya ni kupigisha kipaji cha uso kwenye jiwe jeusi (Hajarul Aswad) na kulibusu. Wanaamini kwamba jiwe hilo lilianguka kutoka mbinguni likiwa jeupe, lakini dhambi za Waislamu zimelifanya kuwa jeusi. Biblia inafundisha kwamba wale watakaoshinda na kuteuliwa kuingia kwenye ufalme wa Mungu, watapewa tuzo ya jiwe jeupe. Unajua maana ya mawe haya mawili kiroho inawakilisha nini? Karibu tujifunze. Subscribe, Like, Comment na Share
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: