JA-AFRICA YAWANOA WANAFUNZI WA CDTI MONDULI KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA
Автор: MONDULI TV ONLINE
Загружено: 2025-04-29
Просмотров: 398
Описание: Leo Tarehe 29 Aprili 2025 shirika la JA AFRICA wametoa mafunzo ya ujasiriamali na uongozi yaliyofanyika katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Monduli. Mafunzo haya yameendeshwa kwa mafanikio makubwa kwa ushirikiano kati ya JA- Africa na Chuo cha Maendeleo ya Jamii. Lengo kuu la mafunzo haya ni kuwawezesha wanafunzi wa Chuo hiki kuimarisha maarifa yao katika maeneo ya ujasiriamali, uongozi, na ubunifu Ambapo ni maeneo muhimu katika kuchochea Maendeleo ya kiuchumi na kijamii.JA Africa na CDTI Monduli tunaamini kwa dhati kuwa kupitia mafunzo haya Yataleta Tija na Hamasa kubwa katika kuwaandaa Wanachuo Hawa kuwa Waajiri badala ya kuwa Waajiriwa. Mafunzo haya yatakayodumu kwa siku nne yatachochea mwamko mpya wa ubunifu, mawazo bunifu ya biashara, na hatimaye kuibua fursa za ajira kwa vijana nchini. Huu ni mwanzo wa safari yenye matumaini makubwa ya mabadiliko chanya kwa kizazi kijacho cha viongozi na wajasiriamali wa Tanzania.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: