"AMANI INAPOTOWEKA VINGI VINATOWEKA, RAIS SHAUKU YAKE KILA MMOJA AFANYE VITU KWA UHURU" CHALAMILA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2025-12-25
Просмотров: 2152
Описание:
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka waumini na Watanzania kwa ujumla kuikataa chuki na kujinyenyekeza mbele za Mungu ili kupata msamaha wa kweli hivyo amesema chuki ni miongoni mwa sababu kuu zinazochochea uovu kwa kasi katika jamii.
Chalamila ameyasema hayo aliposhiriki Ibada ya Sikukuu ya Krismasi iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kimara Korogwe, Dar es Salaam
"ukiona kuna chuki makanisani ambako msalaba unanena nyakati zote nadhani unaweza ukaelewa Serikalini inaweza kuwa hata mara tano, nyinyi kama waumi mkiruhusu chuki hiyo ikajaa katika kanisa watu elfu tano tunao muabudu Mungu leo mtavunjika mioyo na hamta mtaja mungu tena kama kimbilio ndivyo hivyo silaha ya kweli katika kuisambaratisha chuki katika Serikali ni kupiga tu magoti mbele ya madhabahu haya na kumita mungu asimame kuliongoza Taifa lake
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: