Utawala ni Adabu | TAHARIRI YA GUMZO
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2025-12-22
Просмотров: 2251
Описание: Bila adabu, staha ya mtawala itabaki kuwa siri yake, na hishima kutoka kwa umma itakuwa ndoto ya mchana. Adabu ndiyo mafuta yanayofanya injini ya utawala isipate msuguano. "Maji yakikosa mkondo, hutuama na kuwa uvundo; na utawala ukikosa adabu, hugeuka kuwa kero."
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: