Idadi ya watu wasiojulikana wanahofiwa kufariki Murang’a kufuatia maporomoko ya ardhi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-04-29
Просмотров: 96247
Описание: Idadi ya watu wasiojulikana wanahofiwa kufariki katika kijiji cha Kiganjo eneo la Gitugi lililoko katika eneobunge la Mathioya. Hii ni baada ya maporomoko ya ardhi yaliyoshuhudiwa katika eneo hilo. tayari watu wawili wameokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu. Mwanahabari wetu victor kinuthia anaungana nasi mubashara kwa yanayojiri
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: