Uganda yazima mitandao siku mbili kabla ya uchaguzi mkuu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-13
Просмотров: 3912
Описание: Jioni hii, Taifa jirani La Uganda limezima mitandao ya mawasiliano, siku mbili kabla ya nchi hiyo kushiriki uchaguzi mkuu. Tume ya Mawasiliano ya Uganda ikitangaza kufungwa kwa mitandao na kuamrisha kampuni zote zinazotoa huduma za mitandao nchini humo kusitisha huduma hizo kwa muda wa uchaguzi. Haya yanajiri huku Uganda ikiendelea kujipata lawamani kwa kuwazima wapinzani kabla ya uchaguzi huo wa alhamisi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: