MABADILIKO YA UTARATIBU WA KUWASILISHA MAOMBI YA RUZUKU
Автор: Mfuko wa Misitu
Загружено: 2021-12-06
Просмотров: 95
Описание:
Mfuko wa Misitu Tanzania unawajulisha wananchi kuhusu mabadiliko ya utaratibu wa kuwasilisha maandiko ya miradi kwa ajili ya kuomba ruzuku. Tangazo la kuitisha maandiko ya miradi ya kuomba ruzuku kwa mwaka 2022 litatolewa mwezi Desemba, 2021 na mwisho wa kupokea maombi utakuwa tarehe 31 Machi 2022.
Wananchi wote wenye nia ya kuomba ruzuku inayotolewa na Mfuko wa Misitu Tanzania wanashauriwa kuzingatia ipasavyo maelekezo yaliyomo kwenye Tangazo la kuomba ruzuku litakalotolewa tarehe 15 Desemba, 2021.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: