Miili ya wanajeshi waliofia Sudan yawasili Tanzania
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2013-07-20
Просмотров: 235882
Описание: Vilio majonzi na simanzi vimetawala katika uwanja wa kimataifa wa mwalimu Julias Kambarage Nyerere wakati ndege yenye namba B 737-400 iliyobeba miili ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha nchini sudan ilipokuwa ikikanyaga katika ardhi ya tanzania tayari kupokelewa na ndugu jamaa na marafiki.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: