BUKI - JINA LAKE (OFFICIAL VISUALIZER)
Автор: Buki tz
Загружено: 2026-01-20
Просмотров: 32344
Описание:
#JinaLake #hitsong
Produced by Morebeatz
Mixing & Mastering: LIZER
Art & Photography: Vinci One
For Bookings:
Contacts -- [email protected]
[email protected]
Connect With Buki On:
Instagram: / buki_tz
Tiktok: https://www.tiktok.com/@buki_tz?_t=8p...
Listen on other Platforms:
Spotify: https://open.spotify.com/artist/1icOv...
Apple Music: / buki-tz
Boomplay: https://www.boomplay.com/artists/5155...
Audiomack: https://audiomack.com/buki_tz
Lyrics:
Verse 1
EEEh!
Penzi lake limenilegeza
Mwenzenu hoi mnibebe
Penzi lake limenilevya
jamani hoi nirege
Akili amezipoteza
Nipelekeni milembe
Nikizidi kumuendekeza
Nitakuja kufa kizembe
Na sijamroga
Aaah!
Kanipendea Dudu
Na kingeleza
cha kusema I love you too
Amenifunza
kumbe wanawake wanahonga wakipenda
Nasikujua
ma Shangazi wanajuaga kutunza
Bridge:
Aaaah
kuna kijana Ananichanganya
si utaje jina lake
Naogopa mtaja jina
si upost picha yake
Na wasi wasi mutamuiba
si utaje jina lake
kwa emoji uso na mziba
siupost picha yake
Chorus
hii hapa hii hapa iiiii
hii hapa hii hapa iiiii
hii hapa hii hapa iiiii
can you see kapoa
hii hapa hii hapa iiiii
hii hapa hii hapa iiiii
hii hapa hii hapa iiiii
can you see kapoa
Lalala lala lalalaaa
Verse 2
Maradhi ya mapenzi
yanazidi malaria
siwezi sijiwezi
mbaya zaidi anajua
Maradhi ya mapenzi
mwenzenu yanizidia
sipati usingizi
nikinyimwa kitumbua
Aaah
ukijipitisha kwa baby wangu
nakuchana viwembe
sikunyimi maji
we jipendekeze
tuje kumi na nane
Amenifunza
kumbe wanawake wanahonga wakipenda
nasikujua
Mashangazi wanajuaga kutunza
Bridge:
Aaaah
kuna kijana ananchanganya
Si utaje jina lake
Naogopa mtaja jina
Si upost picha yake
Na wasi wasi mutamuiba
siutaje jina lake
kwa Emoji uso namziba
siupost picha yake
Chorus:
hii hapa hii hapa iiiii
hii hapa hii hapa iiiii
hii hapa hii hapa iiiii
can you see kapoa
hii hapa hii hapa iiiii
hii hapa hii hapa iiiii
hii hapa hii hapa iiiii
can you see kapoa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: