🌿 Wananchi wa Kasulu Wanufaika na Mpango wa Majiko Banifu ya Nishati Safi!
Автор: Kasulu DistrictCouncil Digital
Загружено: 2026-03-18
Просмотров: 65
Описание:
Wananchi wa Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, wameanza kutumia majiko banifu ya ruzuku yanayopunguza matumizi ya kuni na mkaa. Mpango huu ni sehemu ya kampeni ya kitaifa kuhakikisha kila Mtanzania anapata nishati safi ya kupikia ifikapo 2036.
Jisajili na bonyeza kengele kupata taarifa za miradi ya maendeleo na tukio la moja kwa moja kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: