Bashe aapishwa Ikulu / Rais Magufuli ataja sababu ya kumuondoa January Makamba
Автор: EastAfricaTV
Загружено: 2019-07-22
Просмотров: 17297
Описание:
#Magufuli #Makamba #EATV
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amebainisha baadhi ya matatizo yaliyokuwa yakipatikana kwenye Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, ikiwemo ucheleweshwaji wa utoaji wa vibali kutoka NEMC, pamoja na kupokea malalamiko ya wawekezaji kuhusu taasisi hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: