MWANANCHI DAY 2025 | Rais Samia azungumza kwa simu na mashabiki wa Yanga
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 14505
Описание:
“Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii”
Salamu za Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Wananchi akiwatakia kla la kheri katika kusherehekea siku yao…
Ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambayo inahitimishwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Bandari utakaopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, kuanzia saa 2:00 usiku...
Mambo yote mbashara #AzamSports1HD
#MwananchiDay2025 #MwananchiDay #WikiYaMwananchi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: