KUTI KAVU EP( 02)
Автор: KICHWA BOX
Загружено: 2025-05-30
Просмотров: 235
Описание:
Sehemu ya pili ya KUTI KAVU inaendelea...
Maisha ya Kuti yanazidi kuwa magumu, kila siku ikileta changamoto mpya. Katika episode hii, utaona namna ndoto zinavyosambaratika mbele ya macho yake, huku dunia ikimgeukia.
Hii ni simulizi ya maumivu, mateso, na maisha halisi ya vijana wa mtaani.
Tazama mpaka mwisho ujifunze, uone, na kuguswa moyo.
🔔 Usisahau ku-subscribe, like, na comment ili kuendelea kupata episodes zijazo.
👉 Bonyeza kengele 📢 kwa taarifa mpya.
Muongozaji: BUNA MDEWA
Muziki & Editing: [KINDINDI]
Social Media:
Instagram: [BUNA TV]
Facebook: [BUNA TV]
TikTok: BUNA TV
#KutiKavu #MaishaMagumu #BongoSeries #BrianTea #Episode02
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: