Elimu Jumuishi kwa wenye ulemavu wa macho 'wasioona' inatekelezeka?
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-03-20
Просмотров: 213
Описание: Faraja Sendegeya analitazama kwa upana suala la elimu jumuishi kwa wanafunzi wenye uoni hafifu au wasioona kabisa. Amewaalika Mratibu Msaidizi wa Mradi wa Haki ya Kusoma, Mohamed Kajembe na Mratibu wa Idara ya Maendeleo ya Vijana, Kiango Itambu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: