Rais William Ruto kuhutubia taifa bungeni leo kuhusiana na hali ya taifa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-11-19
Просмотров: 13486
Описание: Rais William Ruto anatazamiwa kutoa taarifa kuhusiana na hali ya taifa katika kikao maalum cha mabunge yote mawili. hotuba ya rais inatarajiwa kuangazia mafanikio na changamoto za serikali yake. Hotuba hiyo ni ya kikatiba ambapo rais anawajibika kutoa hotuba bungeni kila mwaka kuhusiana na hali na mustakabali wa taifa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: