MECHI YA STARS KUSINDIKIZWA NA TAMASHA KUBWA LA BURUDANI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2025-08-22
Просмотров: 333
Описание: Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema mechi ya robo fainali kati ya timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Morocco leo Ijumaa, Agosti 2025 itasindikizwa na burudani ya tamasha kubwa la Muziki kutoka kwa wasanii mbali mbali nchini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: