PADRE WA KANISA KATOLIKI ACHINJWA KIKATILI MBEYA/MWILI WAKE WAOKOTWA MTONI
Автор: MAWIO TZ
Загружено: 2022-06-12
Просмотров: 7634
Описание:
#BusokeloTv #mbeya #police
Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya athibitisha tukio la Kikatili alilofanyikwa Padre Michael Mawelera Samson wa Shirika la Wamisionari wa Afrika (White Farthers) siku ya tarehe 10.06.2022, na mwili wake kutupwa mtoni.
Endelea kuwa karibu nasi, tutakujuza nini chanzo cha Ukatili huo punde baada ya kupokea taarifa kutoka mamlaka husika.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: