RAIS wa ZAMANI wa ZAMBIA EDGAR LUNGU AFARIKI DUNIA AKIWA na UMRI wa MIAKA 68....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-06-05
Просмотров: 2563
Описание:
RAIS wa ZAMANI wa ZAMBIA EDGAR LUNGU AFARIKI DUNIA AKIWA na UMRI wa MIAKA 68....
Chama cha Patriotic Front (PF) kimethibitisha kifo cha Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68. Katika taarifa yao, wamesema kuwa Lungu alikuwa akipokea matibabu maalum nchini Afrika Kusini kutokana na ugonjwa ambao haukufichuliwa hadharani.
Rais huyo wa zamani aliongoza Zambia kwa kipindi cha miaka sita kuanzia mwaka 2015 hadi 2021, aliposhindwa vibaya kwenye uchaguzi na Rais wa sasa, Hakainde Hichilema.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: