ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

TAZAMA HAMAS ILIVYOWAACHIA MATEKA WA ISRAEL, WAPALESTINA 110 NAO KUACHIWA

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2025-01-30

Просмотров: 63158

Описание: Khan Younis. Wapiganaji wa kundi la Hamas wameanza kuwaachia mateka wa Israel waliokuwa wanashikiliwa eneo la Gaza. Mateka wa kwanza ameshakabidhiwa kwa maofisa wa Msalaba Mwekundu kwa ajili ya kupelekwa nchini Israel.

Katika mabadilishano ya leo Alhamisi Januari 30,2025, Hamas imeanza kwa kumwachia, Agam Berger, (20) ambaye ni miongoni mwa mwanajeshi watano wa Jeshi la Israel (IDF) waliotekwa wakati wa uvamizi wa Hamas nchini Israel Oktoba 7,2023. Wenzake wanne waliachiwa kwenye mabadilishano yaliyofanyika Jumamosi iliyopita.

Mateka wengine raia wa Israel wanaotarajiwa kuachiliwa kutoka mikononi mwa Hamas leo ni Arbel Yehoud, (29) na Gadi Moses (80). Pia Hamas itawaachia raia watano wa Thailand waliotekwa kwenye mashamba ya matunda nchini Israel.

Wakati wa kuachiliwa kwa Berger, wapiganaji wa Hamas waliojihami kwa silaha na kufunika sura zao kwa vitambaa vyeusi wameonekana wakipanga mistari huku raia wa Gaza wakishangilia kumuona mwanajeshi huyo anaachiwa.

Huko Israel, mamia ya raia wamekusanyika katikati ya Mji Mkuu wa Tel Aviv huku wengine wakishangilia baada ya kuona Berger anapunga mkono kupitia Televisheni kubwa inayoonyesha mabadilishano hayo mubashara kutoka Khan Younis, Gaza.

“Agam (Berger) tunakusubiria nyumbani leo,” amesema umati wakisema.

Tofauti na mabadilishano ya Jumamosi, mabadilishano ya leo yatafanyikia maeneo tofauti tofauti kutokana na mateka hao kushikiliwa na vikundi tofauti vilivyoko chini ya Hamas.

Wengine wataachiwa na kukabidhiwa lilipo jengo ambalo IDF ilitekeleza mauaji ya kiongozi wa Hamas, Yahya Sinwar mjini Khan Younis Gaza nchini Palestina. Mateka hao ni waliokuwa chini ya uangalizi wa wapiganaji wa kundi la Islamic Jihad lililoko chini ya Hamas.

Israel inadai raia nane ndiyo wanaoshikiliwa mateka na Hamas, wawili kati yao wakihofiwa kuwa wameshauawa na watano wataachiwa leo.

Malipo ya Israel kwa Hamas kuwaachia mateka hao ni kuachiwa kwa wapalestina 110 wakiwemo watoto 30 waliokuwa wakitumikia adhabu mbalimbali ikiwemo kusubiria adhabu ya kifo ama kufungo cha maisha kwenye magereza mbalimbali nchini Israel.

Mbali na watoto hao, Israel inatarajiwa kumwachia huru, Zakaria Zubeidi ambaye ni kiongozi wa zamani wa kundi la Hamas ambaye aliwahi kutoroka gerezani Israel mwaka 2021, kisha kukamatwa tena na kurudishwa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TAZAMA HAMAS ILIVYOWAACHIA MATEKA WA ISRAEL, WAPALESTINA 110 NAO KUACHIWA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Ахбори Тоҷикистон ва ҷаҳон (11.02.2026) اخبار تاجیکستان )

Ахбори Тоҷикистон ва ҷаҳон (11.02.2026) اخبار تاجیکستان )

IDF Grab Hamas, Islamic Jihad Terrorists By Their Collars| Fist Fights Send West Bank Gunmen Running

IDF Grab Hamas, Islamic Jihad Terrorists By Their Collars| Fist Fights Send West Bank Gunmen Running

Аресты авторов письма Жапарову. Астана может выдать экс-сотрудницу штаба Навального Москве | АЗИЯ

Аресты авторов письма Жапарову. Астана может выдать экс-сотрудницу штаба Навального Москве | АЗИЯ

Запрещенная страна! Кому выгодна Северная Корея и как она выживает?

Запрещенная страна! Кому выгодна Северная Корея и как она выживает?

ЗЕМЛЯ ПРЕДКОВ ТРЕБУЕТ РАСПЛАТЫ ЗА ПРОШЛОЕ! ДРАМА

ЗЕМЛЯ ПРЕДКОВ ТРЕБУЕТ РАСПЛАТЫ ЗА ПРОШЛОЕ! ДРАМА

МОЩНЫЙ ВОЕННЫЙ ФИЛЬМ НА РЕАЛЬНЫХ СОБЫТИЯХ!

МОЩНЫЙ ВОЕННЫЙ ФИЛЬМ НА РЕАЛЬНЫХ СОБЫТИЯХ! "Блокада" ЛУЧШИЕ ВОЕННЫЕ ФИЛЬМЫ

Украина 11 февраля! ЗАПАСАЕМСЯ! СУМАСШЕДШИЕ ОЧЕРЕДИ! Что происходит в Киеве сегодня?!

Украина 11 февраля! ЗАПАСАЕМСЯ! СУМАСШЕДШИЕ ОЧЕРЕДИ! Что происходит в Киеве сегодня?!

ВСУ покидают свои позиции! Что происходит в украинской армии? Это Другое

ВСУ покидают свои позиции! Что происходит в украинской армии? Это Другое

Կառավարության անդամները պատասխանում են ԱԺ պատգամավորների հարցերին | ՈՒՂԻՂ

Կառավարության անդամները պատասխանում են ԱԺ պատգամավորների հարցերին | ՈՒՂԻՂ

TRUMP receives EPIC WELCOME in ISRAEL | FULL MOMENT

TRUMP receives EPIC WELCOME in ISRAEL | FULL MOMENT

Furaha kwa wakaazi wa Gaza wakati Israel ikisitisha vita, katika Dira ya Dunia TV

Furaha kwa wakaazi wa Gaza wakati Israel ikisitisha vita, katika Dira ya Dunia TV

Проблемы на Украине нарастают : ТЦК и энергетика | Не все доезжают до фронта после мобилизации

Проблемы на Украине нарастают : ТЦК и энергетика | Не все доезжают до фронта после мобилизации

HALINA UBISHI WAISRAEL HAWATAKI KUISHI NA PALESTINE | NETANYAHU ASHIKILIA MSIMAMO | HALI SI SHWARI

HALINA UBISHI WAISRAEL HAWATAKI KUISHI NA PALESTINE | NETANYAHU ASHIKILIA MSIMAMO | HALI SI SHWARI

US Prez Trump, Israel’s Netanyahu meet at White House, talks focus on Iran Nuclear talks

US Prez Trump, Israel’s Netanyahu meet at White House, talks focus on Iran Nuclear talks

Ifahamu GAZA | Sehemu Iliyojaa Misiba, na Majonzi

Ifahamu GAZA | Sehemu Iliyojaa Misiba, na Majonzi

Hamas waachia video ya mateka wa kike wa Israel akiongea kwa uchungu/hasira kabla ya kifo chake

Hamas waachia video ya mateka wa kike wa Israel akiongea kwa uchungu/hasira kabla ya kifo chake

Что произошло с лидером Ливии Каддафи в последние часы перед его убийством?

Что произошло с лидером Ливии Каддафи в последние часы перед его убийством?

SIMANZI! HAMAS YAKABIDHI MAITI ZA MATEKA WANNE, RAIS WA ISRAEL AWAANGUKIA WANANCHI

SIMANZI! HAMAS YAKABIDHI MAITI ZA MATEKA WANNE, RAIS WA ISRAEL AWAANGUKIA WANANCHI

Lifahamu Kundi la Hamas Linaloisumbua Israel | Historia ya Kuanzishwa Kwake

Lifahamu Kundi la Hamas Linaloisumbua Israel | Historia ya Kuanzishwa Kwake

СКАНДАЛ на олімпіаді! Українця ДИСКВАЛІФІКУВАЛИ за ШОЛОМ ПАМ'ЯТІ, а прапор РФ в італійця НЕ ПОМІТИЛИ

СКАНДАЛ на олімпіаді! Українця ДИСКВАЛІФІКУВАЛИ за ШОЛОМ ПАМ'ЯТІ, а прапор РФ в італійця НЕ ПОМІТИЛИ

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]