URUSI NA CHINA YATOA TAMKO JUU YA VITA YA IRAN
Автор: ALLY KASHMIRY
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 9966
Описание:
🌍🔥 Habari kuu za wiki hii: Mvutano kati ya Iran, Israel na Marekani unaendelea kuongezeka huku mashambulizi ya makombora na droni yakiripotiwa pande mbalimbali. Wakati huo huo Urusi imesema inaweza kusitisha usambazaji wa gesi kwa Ulaya na kuelekeza nishati yake katika masoko mapya.
Je, wiki hii itakumbukwa vipi katika historia?
🎥 Tazama ripoti kamili iliyoandaliwa na watangazaji wetu Ally Kashmiri na Awadhi Rashidi - kufahamu matukio muhimu yaliyojili 👆
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: