UKIZIONA ISHARA HIZI 9 TAMBUA UNACHO KIBALI CHA KI MUNGU
Автор: NGUVU YA MAONO MEDIA.
Загружено: 2025-03-05
Просмотров: 12200
Описание: Kibali ni Cha muhimu Sana kwenye Maisha ya Kila Binadamu kwasababu kibali kinaweza kikasababisha ukafanikiwa, ukikosa kibali huwezi ukafanikiwa Kwa sababu kibali huwavuta Watu watakao kuinua, MUNGU Akitaka kumuinua mtu humpatia mtu kibali, Kibali kina Nguvu ya kukutajirisha ndio maana MUNGU Akitaka kumuinua mtu huanza kwanza kumpatia mtu huyo kibali, ukiwa na kibali utafuatwa na Watu na ukikosa kibali Watu hawawezi kukufuata kwasababu huna Kibali
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: