ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NDALA SEKONDARI KINARA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA NNE SHULE ZA SERIKALI MANISPAA SHINYANGA

Автор: MISALABA MEDIA

Загружено: 2026-02-06

Просмотров: 36

Описание: Shule ya Sekondari Ndala imeibuka kuwa ya kwanza miongoni mwa shule za serikali katika matokeo ya mitihani ya Kidato cha Pili na Kidato cha Nne kwa mwaka 2025 ndani ya Manispaa ya Shinyanga.

Misalaba Media imetembelea na kufanya mazungumzo na Viongozi mbalimbali wa shule hiyo akiwemo Mkuu wa Shule ya Sekondari Ndala Mwalimu Hamisa Magulu, shule iliyojizolea sifa kwa kuongoza miongoni mwa shule za serikali katika matokeo ya mitihani ya Kidato cha Pili na Kidato cha Nne kwa mwaka 2025 ndani ya Manispaa ya Shinyanga.

Akizungumza Mkuu wa Shule ya Sekondari Ndala ameeleza kuwa mafanikio hayo yametokana na ushirikiano wa walimu, wanafunzi na wazazi pamoja na uwepo wa mifumo madhubuti ya kitaaluma inayolenga kuongeza uelewa wa wanafunzi kabla ya mitihani ya taifa.

Kwa upande wao, baadhi ya wahitimu wa Shule ya Sekondari Ndala wametaja majaribio ya mitihani ya mara kwa mara kuwa ni siri kubwa ya mafanikio yao.

Wamesema kuwa majaribio hayo yamewasaidia kuzoea mazingira ya mitihani, kuongeza kujiamini na kubaini mapema maeneo yenye changamoto ili kufanyiwa kazi kwa wakati.

Wahitimu hao waliongeza kuwa nidhamu, usimamizi wa karibu wa walimu na ratiba madhubuti za masomo vimechangia kwa kiasi kikubwa kuboresha ufaulu na kuifanya shule hiyo kuwa mfano wa kuigwa kwa shule nyingine za serikali.

Kwa mujibu wa uongozi wa shule hiyo, kwa mwaka wa masomo 2026, Shule ya Sekondari Ndala imejipanga kupunguza au kuondoa kabisa daraja la nne, baada ya kufanikiwa kwa muda mrefu kuondoa daraja la sifuri (0) katika matokeo ya mitihani ya taifa, jambo linaloonesha mwelekeo chanya wa maendeleo ya kitaaluma.

Uongozi wa shule umeeleza kuwa utaendelea kuimarisha mbinu za ufundishaji, kuongeza majaribio ya mara kwa mara na kuhimiza nidhamu ili kuhakikisha lengo la kufuta daraja la nne linafikiwa, na hatimaye kuinua zaidi kiwango cha elimu katika Manispaa ya Shinyanga na Mkoa wa Shinyanga.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NDALA SEKONDARI KINARA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA NNE SHULE ZA SERIKALI MANISPAA SHINYANGA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

ОН ЖЫЛ ЖЕР ТӨЛӨӨДӨ ЖАШАГАН КУБАНЫЧБЕК МЕНЕН МАЕК

ОН ЖЫЛ ЖЕР ТӨЛӨӨДӨ ЖАШАГАН КУБАНЫЧБЕК МЕНЕН МАЕК

BINTI YANGU Full episode [ 105 ] #love

BINTI YANGU Full episode [ 105 ] #love

DAWATI LA JINSIA KAHAMA LAENDESHA MDAHALO WA WAZI KUPINGA UKATILI MAJUMBANI

DAWATI LA JINSIA KAHAMA LAENDESHA MDAHALO WA WAZI KUPINGA UKATILI MAJUMBANI

PATA FURSA ZA MAFUNZO YA USHONAJI NA TEKNOLOJIA YA NGUO NA MAVAZI KUTOKA VYUO VYA VETA

PATA FURSA ZA MAFUNZO YA USHONAJI NA TEKNOLOJIA YA NGUO NA MAVAZI KUTOKA VYUO VYA VETA

ЭРУЛАН КОКУЛОВ:

ЭРУЛАН КОКУЛОВ: "АРТЫМДАН КАЛБАЙ ЖҮРӨСҮЗ... МААНАЙЫМ ЖОК, ЭШИКТИ ЖААП КОЮҢУЗ!”

RC MBONI MHITA AWATIMUA KAZINI WAHANDISI 3 SHINYANGA kwa KUSHINDWA KUKAMILISHA MIRADI ya MAENDELEO..

RC MBONI MHITA AWATIMUA KAZINI WAHANDISI 3 SHINYANGA kwa KUSHINDWA KUKAMILISHA MIRADI ya MAENDELEO..

Уже девять детей в детдоме, а отец так и не найден

Уже девять детей в детдоме, а отец так и не найден

"Жетимсиң деп кызын бербей койгон. Үйлүү болдум"-дейт спортчу Кубанычбек Талдыбеков.

Biteko achachamaa ‘mgodi wa Mwadui kuuzwa kinyemela’

Biteko achachamaa ‘mgodi wa Mwadui kuuzwa kinyemela’

“Телефондон уруксат сурагыдай мен жаш кыз эмесмин”

“Телефондон уруксат сурагыдай мен жаш кыз эмесмин”

«Вы врёте на всю страну» — ведущие выводят мать на прямой конфликт

«Вы врёте на всю страну» — ведущие выводят мать на прямой конфликт

WAFANYABIASHARA SASA KUPATA HUDUMA ZAIDI YA 15 KUPITIA MFUMO WA IDRAS BILA KUFIKA TRA

WAFANYABIASHARA SASA KUPATA HUDUMA ZAIDI YA 15 KUPITIA MFUMO WA IDRAS BILA KUFIKA TRA

Многодетная мать или женщина слабых моральных принципов?

Многодетная мать или женщина слабых моральных принципов?

ANWANI ZA MAKAZI NGUZO MUHIMU YA UCHUMI WA KIDIJITALI

ANWANI ZA MAKAZI NGUZO MUHIMU YA UCHUMI WA KIDIJITALI

So'nggi bor yoxud Kechir 2 29-qism (milliy serial) | Сўнгги бор ёхуд Кечир 2 29-қисм (миллий сериал)

So'nggi bor yoxud Kechir 2 29-qism (milliy serial) | Сўнгги бор ёхуд Кечир 2 29-қисм (миллий сериал)

МЖ. Намерена доказать отцовство. 17.11.2020

МЖ. Намерена доказать отцовство. 17.11.2020

MWENYEKITI CCM KAHAMA AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA CCM,  MHONGOLO

MWENYEKITI CCM KAHAMA AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA CCM, MHONGOLO

MAMA WA KAMBO Full Episode [ 44 ]

MAMA WA KAMBO Full Episode [ 44 ]

Сына в детдом, внука — в холод, а себе новую квартиру! Молодец бабуля!

Сына в детдом, внука — в холод, а себе новую квартиру! Молодец бабуля!

SERIKALI YAONYA UCHAFUZI NA UTOROSHAJI WA TUMBAKU

SERIKALI YAONYA UCHAFUZI NA UTOROSHAJI WA TUMBAKU

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]