ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WANNE WAFARIKI KWA KUANGUKIWA NA UKUTA KANISANI, 12 WALAZWA DODOMA

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2025-12-25

Просмотров: 608

Описание: Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 17 kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa Kanisa la Anglikana, Dodoma ulianguka wakati waumini wakiwa ndani.

Tukio hilo limetokea jioni ya Jumatano Desemba 23, 2025 katika Kijiji cha Wiliko Kata ya Mlowa Wilaya ya Chamwino ambapo Mwananchi ilipomtafuta Kamanda wa Polisi wa Mkoa Dodoma, Gallus Hyera kuthibitisha taarifa hiyo hakupatikana kwani mara kadhaa simu yake ilipopigiwa haikuwa hewani.

Askofu wa Kanisa hilo Dayosisi ya Central Tanganyika, Dk Dickson Chilongani ametangaza michango kwa makanisa yote kwa ajili ya kuwahudumia majeruhi hao.

Naye, Mwenyekiti wa Kijiji cha Wiliko Gabriel Mika amekiri kuwepo kwa tukio hilo na kueleza sababu kwamba ilitokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali ambapo watu 17 walijeruhiwa na wengine watano kupatiwa matibabu katika zahanati ya kijijini hapo, huku 12 wakipelekwa hospitali ya mjini Dodoma.

"Ni kweli amefariki mwanaume mmoja na Wanawake watatu wote ni watu wazima wa kijijini kwangu, hapa nipo msibani," amesema Mika.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti, majeruhi walikuwa 17 ambapo baada ya wawili kupoteza maisha, walibaki watano wanaoendelea kutibiwa Hospitali ya rufaa ya Dodoma.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma Dk Ernest Ibenzi amekiri kupokea majeruhi 12 wa tukio hilo ambao amesema wanaendelea na matibabu.

Ufafanuzi matumizi ya picha na jina la kanisa
Leo Desemba 25, 2025 kwenye ukurasa wetu wa Instagram tumechapisha taarifa kuhusu ukuta wa Kanisa la Kanisa la Reality Of Christ Dodoma (ROC) Dodoma, kuanguka na kuua watu wanne na kujeruhi wengine 17.

Usahihi ni kwamba, ukuta ulioanguka na kuua watu wanne na kujeruhi wengine 17 ni wa Kanisa la Anglikana Dodoma na siyo Kanisa la Reality Of Christ Dodoma (ROC) kama ilivyoonekana kwenye habari hiyo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WANNE WAFARIKI KWA KUANGUKIWA NA UKUTA KANISANI, 12 WALAZWA DODOMA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MTUHUMIWA WA UHAINI ALIYEMLIZA MDOGO WAKE MAHAKAMANI AACHIWA HURU, FAMILIA YAFANYA IBADA

MTUHUMIWA WA UHAINI ALIYEMLIZA MDOGO WAKE MAHAKAMANI AACHIWA HURU, FAMILIA YAFANYA IBADA

KWA HUZUNI! RC CHALAMILA AFIKA KKKT KIMARA ''NCHI YETU IMEPITIA MAGUMU SANA KWA KILICHOTOKEA''

KWA HUZUNI! RC CHALAMILA AFIKA KKKT KIMARA ''NCHI YETU IMEPITIA MAGUMU SANA KWA KILICHOTOKEA''

Лос-Анджелес готовят к эвакуации, массовая стрельба в Чикаго

Лос-Анджелес готовят к эвакуации, массовая стрельба в Чикаго

Самые Нелепые Ошибки Рабочих, Снятые на Камеру

Самые Нелепые Ошибки Рабочих, Снятые на Камеру

LIVE: WAZIRI MKUU AMBANA RC CHALAMILA, ULEGA ISHU KIVUKO KIGAMBONI, WANANCHI WAMVA WAZIRI kutoa KERO

LIVE: WAZIRI MKUU AMBANA RC CHALAMILA, ULEGA ISHU KIVUKO KIGAMBONI, WANANCHI WAMVA WAZIRI kutoa KERO

MFAHAMU CATHERINE ALIYEWALIZA WATU MAHAKAMANI, KAKA YAKE ANASHTAKIWA KWA UHAINI

MFAHAMU CATHERINE ALIYEWALIZA WATU MAHAKAMANI, KAKA YAKE ANASHTAKIWA KWA UHAINI

Inside the Largest Wood Sawmill Factory – How Plywood Is Made From Logs to Table (Full Process)

Inside the Largest Wood Sawmill Factory – How Plywood Is Made From Logs to Table (Full Process)

UTATA KIFO CHA KAWAWA/ALITOKA NYUMBANI MZIMA/ALINIOA NIKIWA NA WATOTO/TOFAUTI ZA FAMILIA ZILIKUWEPO

UTATA KIFO CHA KAWAWA/ALITOKA NYUMBANI MZIMA/ALINIOA NIKIWA NA WATOTO/TOFAUTI ZA FAMILIA ZILIKUWEPO

TUKIO LA MTOTO WA DARASA LA 5 MTWARA KUANGUSHWA KWENYE UNGO KISHIRIKINA/WAZAZI WALIA NA SERIKALI.

TUKIO LA MTOTO WA DARASA LA 5 MTWARA KUANGUSHWA KWENYE UNGO KISHIRIKINA/WAZAZI WALIA NA SERIKALI.

KIJANA AFARIKI BAADA YA KUZAMA BAHARINI FORODHANI

KIJANA AFARIKI BAADA YA KUZAMA BAHARINI FORODHANI

Askofu Alipukia Mwigulu Nchemba Kanisani kwa kufumbia macho Haki akidai Amani baada ya Mauaji Tz

Askofu Alipukia Mwigulu Nchemba Kanisani kwa kufumbia macho Haki akidai Amani baada ya Mauaji Tz

💥7 МИНУТ НАЗАД! Серия убийств ТОП ГЕНЕРАЛОВ РФ! Спецслужбы БЕССИЛЬНЫ, у Z-ников ИСТЕРИКА - НАКИ

💥7 МИНУТ НАЗАД! Серия убийств ТОП ГЕНЕРАЛОВ РФ! Спецслужбы БЕССИЛЬНЫ, у Z-ников ИСТЕРИКА - НАКИ

Familia zakusanyika kusherehekea msimu wa sikukuu jijini Nairobi

Familia zakusanyika kusherehekea msimu wa sikukuu jijini Nairobi

BAKWATA WAVUNJA UKIMYA WAFUNGUKA MAZITO NA KUFICHUA UKWELI WOTE WA KESI YA WATU 12 DHIDI YA SERIKALI

BAKWATA WAVUNJA UKIMYA WAFUNGUKA MAZITO NA KUFICHUA UKWELI WOTE WA KESI YA WATU 12 DHIDI YA SERIKALI

KILICHOMKUTA JAJI WARIOBA JAMANI DAH😭😭😭😭

KILICHOMKUTA JAJI WARIOBA JAMANI DAH😭😭😭😭

Список запретов в России на 2026 год – Как это коснется каждого?

Список запретов в России на 2026 год – Как это коснется каждого?

⚡️Спецслужбы Запада зашли в Москву || Армия РФ отошла?

⚡️Спецслужбы Запада зашли в Москву || Армия РФ отошла?

MWANACHUO ALIEPELEKA DEGREE YAKE KWENYE KABURI LA MAMAYE AFUNGUKA | BABA YANGU ALINIKATAA

MWANACHUO ALIEPELEKA DEGREE YAKE KWENYE KABURI LA MAMAYE AFUNGUKA | BABA YANGU ALINIKATAA

Samia hali Mbaya;Ubungo & Mbagala walipuka Maandamano Makali Kumshinikiza Suluhu Hassan Kujiuzulu

Samia hali Mbaya;Ubungo & Mbagala walipuka Maandamano Makali Kumshinikiza Suluhu Hassan Kujiuzulu

ЕЗИД ИЗ КЛАНА УСОЯНА вскрыл живот в туалете ОВД — вор в законе, которого боялся весь Дальний Восток

ЕЗИД ИЗ КЛАНА УСОЯНА вскрыл живот в туалете ОВД — вор в законе, которого боялся весь Дальний Восток

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]