Fisi aua mtoto Mwanza, baba yake afunguka, wananchi watoka na silaha za jadi kumuwinda
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-12-29
Просмотров: 4761
Описание:
Mgongo Kaitira, Mwananchi Digital
Mwanza. Kwako ni simanzi lakini kwake ni kilio kisichoelezeka. Huyu ni Marco Shingilima, Mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza ambaye mwanaye amepoteza maisha kwa kuliwa na fisi akiogeshwa mtoni na dada yake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: