Mtangazaji Mkongwe Jacob Maunda Afariki
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2012-08-17
Просмотров: 54850
Описание: Mtangazaji mkongwe Jacob William Maunda ameaga dunia. Maunda aliaga dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali Kuu ya Kenyatta alikokuwa amelazwa kutokana na ugonjwa wa moyo. Maunda atakumbukwa kama mtangazaji ambaye alivuma mno kwa muda mrefu tangu enzi za kituo cha Voice of Kenya ambacho ni KBC kwa sasa. Kufikia kifo chake, Maunda alikuwa naibu msimamizi wa kituo cha redio cha Musyi kwenye kampuni ya Royal Media Services kinachopeperusha matangazo yake kwa lugha ya kikamba.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: