Kikao Idara Ya Afya - highlight
Автор: ABRAH KING
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 19
Описание:
#mpimbwe #kataviral #halmashauri
Idara ya afya katika halmashauri ya mpimbwe mkoani katavi ilifanikiwa kukaa kikao na kujadili vifo vya mama na mtoto, aidha kupitia kikao hicho watumishi walipongezwa kwa uhodari wa kazi katika vitengo tofauti tofauti.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: