Kusimama Imara Kwa Nguvu
Автор: P.C.E.A Jerusalem Church Gilgil (Official)
Загружено: 2026-03-15
Просмотров: 134
Описание:
Karibuni katika ibada yetu ya leo. Tunashirikiana katika Kanisa Jipya. Jordan District liko zamu ya huduma leo. Muhubiri wa siku ya leo ni Bi Jane Muigai. Mada ya siku ni Kusimama Imara Kwa Nguvu za Mungu Katikati ya Upinzani . Masomo yatasomwa kutoka kitabu cha Nehemia 4:1-9 na 1 Wakorintho 2:1-5
Mbarikiwe sana. 🙏
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: