ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

RC BATILDA AKAGUA UJENZI WA MKWAKWANI PLAZA, AHIMIZA WANATANGA KUCHANGAMKIA FURSA

Автор: TANGA MKOA TV

Загружено: 2026-03-03

Просмотров: 937

Описание: Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian, leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Mkwakwani Plaza unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), akipongeza kasi ya utekelezaji na ubora wa kazi unaoendelea katika eneo hilo.

Akizungumza mara baada ya ukaguzi huo, Mhe. Burian amesema mradi huo wa thamani ya shilingi bilioni 8.6 ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati inayochochea ukuaji wa uchumi wa Mkoa wa Tanga.

Aidha, alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kusukuma mbele maendeleo katika sekta mbalimbali ikiwemo miundombinu na makazi.

Amesema Mkwakwani Plaza ni mradi wa kisasa unaojumuisha sehemu za biashara na makazi, na kwamba utakapokamilika utaongeza thamani ya mji wa Tanga pamoja na kutoa fursa zaidi za ajira na uwekezaji kwa wananchi.

“Ni jambo la kujivunia kuona kuwa kuanzia ujenzi hadi usimamizi wa mradi huu unafanywa na wataalamu wazawa kupitia shirika letu la nyumba. Hii ni hatua kubwa katika kukuza uwezo wa ndani,” amesema Mhe. Burian.

Kwa upande wake, Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Mkoa wa Tanga, Mhandisi Musa Patrick, amesema jengo hilo litakuwa na maeneo ya maduka na ofisi za kupangisha katika sehemu ya biashara, huku likiwa na gorofa nne za makazi ambapo yumna za vyumba viwili zitauzwa kwa shilingi milioni 178 na za vyumba vitatu kwa shilingi milioni 240, bei zote zikijumuisha VAT.

Naye Msimamizi wa Mradi, Mhandisi Ephraim Msigwa, amesema ujenzi wa mradi huo ulianza Juni 2025 na kwa mujibu wa mkataba unatarajiwa kukamilika Juni 2027. Hata hivyo, kutokana na mahitaji makubwa ya wananchi, jitihada zinafanyika kuhakikisha mradi huo unakamilika ifikapo Agosti 2026.

Ameongeza kuwa jumla ya wananchi 189 wamepata ajira kupitia mradi huo, hatua inayochangia kupunguza tatizo la ajira na kuongeza kipato kwa familia nyingi mkoani humo.

Mradi wa Mkwakwani Plaza unatarajiwa kuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Mkoa wa Tanga mara utakapokamilika.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RC BATILDA AKAGUA UJENZI WA MKWAKWANI PLAZA, AHIMIZA WANATANGA KUCHANGAMKIA FURSA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MAKALA YA FURSA ZA UWEKEZAJI MKOA WA TANGA

MAKALA YA FURSA ZA UWEKEZAJI MKOA WA TANGA

HAYA NDIO MADARAJA MAKUBWA MATANO KUJENGWA JIJINI DAR...

HAYA NDIO MADARAJA MAKUBWA MATANO KUJENGWA JIJINI DAR...

TARURA DAR ES SALAAM YAENDELEA NA UJENZI  WA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOSIMAMA KUTOKANA NA MVUA

TARURA DAR ES SALAAM YAENDELEA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOSIMAMA KUTOKANA NA MVUA

🔴 СРОЧНО ОБРАЩЕНИЕ МОДЖТАБЫ ХАМЕНЕИ К ИРАНУ С БОЛЬНИЧНОЙ КОЙКИ #новости #одиндень

🔴 СРОЧНО ОБРАЩЕНИЕ МОДЖТАБЫ ХАМЕНЕИ К ИРАНУ С БОЛЬНИЧНОЙ КОЙКИ #новости #одиндень

#TBC:BANDARI YA TANGA - UFANISI BAADA YA MABORESHO MAKUBWA YALIYOFANYWA NA SERIKALI

#TBC:BANDARI YA TANGA - UFANISI BAADA YA MABORESHO MAKUBWA YALIYOFANYWA NA SERIKALI

RELI NA MATUKIO | SGR INAVYOIPA MVUTO ZAIDI HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

RELI NA MATUKIO | SGR INAVYOIPA MVUTO ZAIDI HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

DKT. MWIGULU : RAIS SAMIA AWEKA ALAMA YA MAENDELEO KUPITIA RARAJA LA MTO PANGANI

DKT. MWIGULU : RAIS SAMIA AWEKA ALAMA YA MAENDELEO KUPITIA RARAJA LA MTO PANGANI

Лукашенко на ферме: Что у вас ТАКОЙ БАРДАК? Я так понимаю, ты тут не бываешь?

Лукашенко на ферме: Что у вас ТАКОЙ БАРДАК? Я так понимаю, ты тут не бываешь?

Я исследовал заброшенный город Танзании, который ожил — проект стоимостью 5 миллиардов долларов.

Я исследовал заброшенный город Танзании, который ожил — проект стоимостью 5 миллиардов долларов.

SERIKALI KUIMARISHA ZAIDI MIUNDOMBINU BANDARI YA TANGA

SERIKALI KUIMARISHA ZAIDI MIUNDOMBINU BANDARI YA TANGA

SHEIKH PONDA AWAULIZA MASHEIKH SWALI ZITO JUU WAISLAM

SHEIKH PONDA AWAULIZA MASHEIKH SWALI ZITO JUU WAISLAM

🔴#LIVE: BALAA! MADELEKA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU!/AMTAJA CHALAMILA NA MWANASHERIA MKUU

🔴#LIVE: BALAA! MADELEKA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU!/AMTAJA CHALAMILA NA MWANASHERIA MKUU

This is Musoma Tanzania in 2026. Things have Changed

This is Musoma Tanzania in 2026. Things have Changed

WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA KUANZA ZIARA YA KIKAZI TANGA

WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA KUANZA ZIARA YA KIKAZI TANGA

MAFURIKO DAR YAACHA BALAA - RC CHALAMILA ATOA TAMKO -

MAFURIKO DAR YAACHA BALAA - RC CHALAMILA ATOA TAMKO - "MVUA WAMESEMA ZITAENDELEA KUNYESHA"...

WANANCHI JIJINI TANGA KUNUFAIKA NA MIRADI INAYOTEKELEZWA.

WANANCHI JIJINI TANGA KUNUFAIKA NA MIRADI INAYOTEKELEZWA.

RAIS SAMIA AIPA TANROADS ZAIDI YA BILIONI 500 UJENZI MIUNDOMBINU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AIPA TANROADS ZAIDI YA BILIONI 500 UJENZI MIUNDOMBINU DAR ES SALAAM

RC TANGA AWAITA WANANCHI KUTUMIA FURSA YA KLINIKI YA SHERIA BILA MALIPO

RC TANGA AWAITA WANANCHI KUTUMIA FURSA YA KLINIKI YA SHERIA BILA MALIPO

WAZIRI MKUU ASISITIZA THAMANI YA FEDHA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

WAZIRI MKUU ASISITIZA THAMANI YA FEDHA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

Mradi wa Handeni, Korogwe, Muheza na Pangani umefikia asilimia 74 ya utekelezaji  wake.

Mradi wa Handeni, Korogwe, Muheza na Pangani umefikia asilimia 74 ya utekelezaji wake.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]