JE MAUMIVU UKENI KWA MJAMZITO HUTOKANA NA NINI?? | JINSI YA KUPUNGUZA MAUMIVU UKENI KTK UJAUZITO!!
Автор: Dr. Mwanyika
Загружено: 2022-06-01
Просмотров: 128997
Описание:
Maumivu Ukeni kwa Mjamzito, Maumivu ya kubana na kuachia wiki 32, Maumivu ya kwenye kitovu cha Mjamzito.
SABABU ZA MAUMIVU UKENI KTK KIPINDI CHA UJAUZITO NI KAMA:
0:00 - Intro
0:47 - Lightning crotch pain Ukeni
2:37 - Round ligament pain Ukeni
6:16 - Maumivu ya kubana na kuachia
7:19 - Uzito au maumivu ya kuvuta
8:16 - Uchungu halisia au wa kweli
Jinsi ya kugeuka na kulala kitandani Mjamzito mwenye Tumbo kubwa Sana au Mimba kuanzia miezi mitano na zaidi.
• Jinsi ya kulala na kugeuka ktk kipindi cha...
Je Sababu gani hupelekea Mjamzito kuchoka sana katika kipindi cha Ujauzito.
• Kuchoka Sana Kwa Mjamzito sababu gani {KUK...
Je Mjamzito anaruhusiwa kula PILIPILI au PILIPILI huwa na madhara kwa mjamzito?
• JE MADHARA YA PILIPILI KWA MJAMZITO NI YAP...
Je vihatarishi vipi hupelekea Mjamzito kuwahi kujifungua kabla ya wakati
• JE HATARI GANI HUPELEKEA MJAMZITO KUJIFUNG...
Je sababu gani hupelekea kuchelewa kujifungua kwa Mjamzito? Bonyeza link hii hapa 👇👇👇👇
• JE UMECHELEWA KUJIFUNGUA KWA SABABU GANI? ...
Kwa nini Mimba ya kiume Mjamzito huchelewa kujifungua? sikiliza 👇👇
• JE UJAUZITO WA JINSIA YA KIUME MJAMZITO HU...
Jinsi ya kupata Mtoto wa jinsia unayotaka;
• Jinsia ya Mtoto kulingana na Siku uliyofan...
Dalili za Mimba ya jinsia ya kiume bonyeza link hapa.
• Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kun...
Mjamzito mwenye Damu group O na mume mwenye group A au B mimba huweza kuharibika pia?
• MJAMZITO MWENYE DAMU KUNDI "O" NA MUME KUN...
Je madhara ya kuchelewa kujifungua ni yapi? bonyeza link hapa!
• MADHARA YA KUCHELEWA KUJIFUNGUA KWA MJAMZI...
Sababu zinazipelekea Mtoto kucheza sana Tumboni mwa Mjamzito.
• Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzit...
Fanya hivi ili kupata usingizi wa kutosha ktk kipindi cha Ujauzito
• Je Mjamzito ufanye nini ili uweze kupata U...
Sababu za Mtoto kupunguza kucheza au kuacha cheza Tumboni
• Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hup...
Faida ya Asali kwa Mjamzito bonyeza link hii
• JE ASALI INA MADHARA KWA MJAMZITO?? | JE F...
Unaweza kujifunza masomo kupitia Instagram
/ dr._mwanyika
Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/
Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
/ japideafya
Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...
#MaumivuUkeni
#DrMwanyika
#Mamaafya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: