NYAVUNI 26/02/2026 | Magoli 10 bora na 'saves' kali raundi ya 64 CRDB Bank Fed. Cup
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 848
Описание:
Pata burudani ya magoli makali zaidi yaliyofungwa katika mechi 32 za raundi ya pili (Raundi ya timu 64) ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, zilizochezwa katika wiki iliyoishia Februari 25.
Goli nambari moja linatoka kwa Paul Peter akiingoza JKT Tanzania kuichapa Pan African mabao 7-0.
Upande wa saves kali, kinara ni ile ya golikipa wa Greenland katika mchezo wao dhidi ya Simba.
#Nyavuni ni kila Alhamisi saa 4:00 usiku #AzamSports1HD
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: