Скачать
Ugomvi kati ya Musa na Firauni: Hadithi Isiyofahamika
Автор: baswaer
Загружено: 2025-04-23
Просмотров: 5725
Описание:
Kisa cha Nabii Musa (AS) na Firauni ni moja ya hadithi maarufu zaidi katika historia ya mitume. Ni simulizi ya ukombozi, ujasiri na imani mbele ya dhulma. Musa alitumwa na Mwenyezi Mungu kumlingania Firauni atubu, lakini Firauni alikataa na kuwakandamiza Wana wa Israel. Mwisho wake ulikuwa wa kusikitisha alipozama baharini alipowafuata Musa na watu wake waliovushwa kwa muujiza mkubwa wa kupasuliwa Bahari ya Shamu.
• Видео
• Видео
• ALIKATA KUMSAIDIA NA KUSABABISHA KUPOTEA M...
• Видео
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: