Simbu aandika historia kwa Tanzania baada ya kushinda medali ya dhahabu
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-09-15
Просмотров: 58555
Описание: Kwa taifa ambalo mara nyingi limekuwa kivuli cha majirani zake Kenya na Ethiopia katika mbio za masafa marefu, mwanariadha Alphonce Felix Simbu ameandika historia kwa Tanzania. Simbu ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za Marathon zilizofanyika mjini Tokyo, Japan usiku wa kuamkia leo. Hiyo ni medali ya kwanza ya dhahabu kwa Tanzania katika mashindano ya dunia ya riadha au Olimpiki. Tazama video hii ujione jinsi Felix Simbu alivyoingia kwenye vitabu vya rekodi kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda dhahabu katika riadha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: