Jinsi ya Kutengeneza App ya Android (Rahisi Sana)
Автор: Tanzania Tech
Загружено: 2017-02-15
Просмотров: 18503
Описание:
Ulimwengu kwa sasa umekua sana kiasi kwamba karibia huduma zote unazipata kupitia simu yako ya mkononi, hii imesababisha watoa huduma wote ambao hutoa huduma mtandaoni kulazimika... kutengeneza programu (App) kwaajili ya huduma zao, lakini katika kufanya hivyo bado unakutana na changamoto kwani ni lazima kuajiri watu kwaajili ya kufanya hivyo ndio mana leo Tanzania Tech tunakuletea njia hii ya kutengeneza app za android bila kuwa na ujuzi wowote maalum..............
MUHIMU
Bofya Hapa http://bit.ly/2kUeTpp kudownload app iliyotengenezwa hapa ili ujionee mwenyewe.
Bofya Hapa http://bit.ly/2kziMg2 kujisaji na akaunti kwenye mtandao wa Andromo.
Kwa Maelezo zaidi Bofya Hapa http://bit.ly/2kVn4Sd
KAMA UNA SWALI ULIZA HAPO CHINI, LIKE NA SUBSCRIBE KAMA UNATAKA KUPATA #MAUJANJA YA TEKNOLOJIA KILA SIKU
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: