Torati Ya Mkwanja 4k
Автор: TEN OVER TEN
Загружено: 2025-10-17
Просмотров: 342
Описание:
Torati Ya Mkwanja, the official video is finally here to blow your minds. Dive into the visuals, feel the vibes, and let's make this go viral! Who's watching first? 🔥💃 #ToratiYaMkwanja #NewVideoDrop #MusicVideo
Lyrics:
Chorus (G Frank)
Torati Ya Mkwanja imejaa mtaani (eeh, eeh) × 2
Verse 1 (K.A.T.O)
If your niggah clap your hands kama we ni hustler
Nikilala nikiamka nawaza mahelaa
Hii torati imeandikwa mkwanja masela
Wengine ninao kitaa wengine tayari wako jela
Uhakika wa maisha ni kazi
Cheza na posho usicheze na kazi
Nilitamani niwe jambazi
Hustle zibane kama chupi japo jeje sina kazi
Cheza na posho usicheze na kazi
Nilitamani niwe jambazi
Hustle zibane kama chupi japo jeje sina kazi
...
Chorus (G Frank)
(Torati Ya Mkwanja, Mkwanjaa) × 4
Verse 2 (Opobo)
Plata O Plomo
Mbele ya mkwanja funga mdogo
Sihitaji promo
Natokea handaki, huku sinaga formal
Napeleka michomo
Madenti kumbatia dawati chukua somo
Sihitaji mgomo
Mwenyewe nimepinda kinoma kama abnormal
Fala usinipe gwara, utaniachia mikosi
Niko imara, ni msala kama kuwazingua kikosi, usinizingue kwenye jala
Unataka kuishi ki boss (Mkwanjaa)
Unataka kuishi ki boss (Mkwanjaa)
Unataka kuishi kiboss (Mkwanjaa)
Unataka kuishi kiboss (Mkwanjaa)
(Muu Palla verse)
Kwenye Torati Ya Mkwanja, maujanja lazima
Tunakiwasha tunakizima, hatucheki na kima
Kwenye kutafuta mikwanja unaweza kuta wachina
Tupo kila sehemu na usijaribu kupima
Kila kona kila kodo, kila chocho
Tunabisha hodi kwenye wodi za watoto
Muamini daktari ama nurse utoe boko
Ama upige mbizi maji ya ugoko
Utachagua kulia ama kushoto
Bridge ( G Frank)
Napiga madili kwanza
Halali haramu haijulikani (eehh) × 2
Verse 3 (Elsolo verse)
Nnachofanya wao hawafanyi I'm ready for this game
Hustle hard hustle smart life is not the same
Niko na winner cycle tuna i run DSM
Michongo haijawahi kufeli labda watuwekee sumu
Maisha ya mtaa kama fumbo kila hatua strategy
Torati hatuachi mamkwanja maisha yenyewe ni lottery
Kila pesa nnayomake ni step ya kuwa free
So I keep my cycle tight no room for treachery
Chorus ( G Frank)
Torati Ya Mkwanja imejaa mtaani (eeh, eeh) × 2
Verse 4 (Momumo verse)
Natakiwa kupata huo mkwanja hata kwa manati
Kidogo nnachopata ndugu usinivute shati
Acha boli liende kati punguza story piga pasi
Nina mori mpaka basi, usinipotezee wakati
Inasakwa shilingi halali ama haramu
Njia nazo ni nyingi kalamu ama kamari
Matapeli ni wengi watu wa kati madalali
Mapambano ni mengi na maisha kama dahari
(Canamass verse)
Nina deal za kukupa za kitajiri kwangu no more
Umiliki na maduka na ma ghorofa Kariakoo
Umiliki na mapesa uwe tajiri uwe fogoo
Uwe tajiri uwe fogoo
Kukaba kwako iwe poa
Kuiba kwako iwe poa
Ku push kwako iwe poa
Hata winga kwako iwe poa
Kukaba kwako iwe poa
Kuiba kwako iwe poap
Ku push kwako iwe poa
Hata winga kwako iwe poaa
Chorus ( G. Frank)
Torati Ya Mkwanjaa, Mkwanjaa
Torati Ya Mkwanja, Mkwanjaa
Torati Ya Mkwanja, Mkwanjaa
Torati Ya Mkwanja, Mkwanjaa
Directed by RrahC Shot by RrahC Sound Track by Asante Studos & 10 Over 10 Audio Produced by Asante Studio Performance by 10 Over 10 Sound Engineered by Asante Studio
Executively Produced by Metisha Movement, Stay High, BongoHoodzPichaz & Asante Entertainment
© 2025 Asante Empire. ℗ 2025 Asante Music Group. All rights reserved. Unauthorized copying, reproduction, hiring, lending, public performance, distribution, transmission, and broadcasting prohibited. “Asante Empire” is a trademark of Asante Strategy Holdings.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: