Maafisa wa DCI wawazuilia watu wanne kwenye kisa cha utekaji nyara wa uwongo wa Mercy Awuor
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-11-17
Просмотров: 20669
Описание: Maafisa wa Upelelezi wanawazuilia watu wanne kwenye kisa cha utekaji nyara wa uwongo wa mwanamke mmoja hapa Nairobi. Mwanamke huyo Mercy Awuor alidaiwa kutekwa nyara na watu waliodai dhamana huku mwanamume aliyeishi naye hapa Nairobi kwa mwaka mmoja akipiga ripoti kwa polisi. Hata hivyo, ilibainika kuwa Mercy hakuwa ametekwa nyara ila alikuwa ametorokea Narok mumewe na mwanawe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: