Njia Mpya ya Kufanya Utekelezaji Wa majukumu (Implementation) kwenye mfumo wa ESS PEPMIS
Автор: Mkufunzi Bora
Загружено: 2025-10-08
Просмотров: 866
Описание:
Karibu kwenye video hii maalum ambapo tunaangazia mabadiliko mapya na njia sahihi ya kutekeleza majukumu yako kwenye mfumo wa ESS PEPMIS tutaenda kuangazia mambo yafuatayo
✅ Hatua mpya za utekelezaji wa majukumu
✅ Namna ya kuangalia asilimia za utendaji wa kazi yako
✅ Mabadiliko yaliyofanywa kwenye interface ya mfumo
✅ Namna ya kuweza kuona progress ya implementation zako
✅ Vidokezo vya kuzuia makosa ya kawaida wakati wa kutekeleza majukumu
Kama utakuwa na swali lolote tafadhali usiache kucomment hapo chini
USISAHAU:
🔔 Subscribe kwa channel yetu kwa mafunzo zaidi kuhusu mifumo ya kiutumishi
👍 Like video hii kama imekusaidia
💬 Toa maoni yako au uliza swali lolote hapa chini
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: